‏ Deuteronomy 31:14

Kuasi Kwa Waisraeli Kunatabiriwa

14 a Bwana akamwambia Mose, “Sasa siku ya kifo chako imekaribia. Mwite Yoshua, mkajihudhurishe katika Hema la Kukutania, mahali nitakapompa maagizo ya kazi.” Kwa hiyo Mose na Yoshua wakaja na kujihudhurisha kwenye Hema la Kukutania.

Copyright information for SwhNEN