‏ Deuteronomy 30:1

Mafanikio Baada Ya Kumgeukia Bwana

1 aWakati baraka hizi zote pamoja na laana nilizoziweka mbele yako zitakapokujia, nawe ukazitafakari moyoni popote Bwana Mungu wako atakapokutawanya miongoni mwa mataifa,
Copyright information for SwhNEN