a 1Sam 12:25; Kum 4:27; 2Fal 24:14; 25:7-11; 2Nya 33:11; 36:21; Ezr 5:12; Yer 15:14; 16:13; 27:20; 29:1-9; 52:28; Mao 1:3; Kum 4:28
Deuteronomy 28:36-38
36 a Bwana atakupeleka wewe na mfalme uliyemweka juu yako uende kwenye taifa ambalo hukulijua wewe wala baba zako. Huko utaabudu miungu mingine, miungu ya miti na mawe. 37 bUtakuwa kitu cha kuchukiza, tena kitu cha kudharauliwa na kudhihakiwa kwa mataifa yote huko Bwana atakakokupeleka.38 cUtapanda mbegu nyingi katika shamba lakini utavuna haba, kwa sababu nzige watazila.
Copyright information for
SwhNEN