‏ Deuteronomy 28:23-24

23 aAnga juu yako itakuwa shaba, na ardhi chini yako itakuwa chuma. 24 bBwana atafanya mvua ya nchi yako kuwa mavumbi na mchanga; vitakujia kutoka angani mpaka uangamie.

Copyright information for SwhNEN