‏ Deuteronomy 27:6-7

6Jengeni madhabahu ya Bwana Mungu wenu kwa mawe ya shambani, na mtoe sadaka za kuteketezwa juu yake kwa Bwana Mungu wenu. 7 aToeni sadaka za amani juu yake, mkizila na kufurahia mbele za Bwana Mungu wenu.
Copyright information for SwhNEN