‏ Deuteronomy 23:4

4 aKwa kuwa hawakuja kuwalaki wakiwa na mkate na maji mlipokuwa njiani mlipotoka Misri, tena walimwajiri Balaamu mwana wa Beori kutoka Pethori iliyoko Aramu-Naharaimu
Yaani Mesopotamia ya Kaskazini-Magharibi.
ili kuwalaani ninyi.
Copyright information for SwhNEN