‏ Deuteronomy 22:4

4 aKama ukimwona punda wa nduguyo au ngʼombe wake ameanguka barabarani, usipuuze jambo hilo. Msaidie asimame kwa miguu yake.


Copyright information for SwhNEN