Deuteronomy 2:18-19
18 a“Leo utapita katika nchi ya Moabu huko Ari. 19 bUtakapokuja kwa Waamoni, msiwasumbue wala kuwachokoza kwa vita, kwa kuwa sitawapa ardhi yoyote iliyo ya Waamoni kuwa milki yenu. Nimeitoa kama milki ya wazao wa Loti.”
Copyright information for
SwhNEN