Deuteronomy 16:21-22
Kuabudu Miungu Mingine
21 aMsisimamishe nguzo yoyote ya Ashera kando ya madhabahu mliyomjengea Bwana Mungu wenu, 22 bwala msisimamishe jiwe la kuabudu, kwa maana Bwana Mungu wenu anavichukia vitu hivi.
Copyright information for
SwhNEN