‏ Deuteronomy 11:24

24 aKila mahali mtakapoweka mguu wenu patakuwa penu: Nchi yenu itaenea kutoka jangwa la Lebanoni, na kutoka mto wa Frati hadi bahari ya magharibi
Yaani Bahari ya Mediterania.
Copyright information for SwhNEN