‏ Deuteronomy 11:18

18 aYawekeni haya maneno yangu katika mioyo yenu na akili zenu, yafungeni kama alama juu ya mikono yenu na kwenye paji za nyuso zenu.
Copyright information for SwhNEN