‏ Deuteronomy 10:17-19

17 aKwa kuwa Bwana Mungu wenu ni Mungu wa miungu na Bwana wa mabwana, Mungu mkuu, mwenye uweza na wa kutisha, ambaye hana upendeleo na hapokei rushwa. 18 bHuwapigania yatima na wajane, humpenda mgeni, akimpa chakula na mavazi. 19 cNanyi wapendeni wageni, kwa kuwa ninyi wenyewe mlikuwa wageni huko Misri.
Copyright information for SwhNEN