‏ Daniel 2:4

4 aNdipo wanajimu wakamjibu mfalme kwa lugha ya Kiaramu,
Kutoka hapa hadi Dan 7:28, mwandishi aliandika na Kiaramu.
“Ee mfalme, uishi milele! Waambie watumishi wako hiyo ndoto, nasi tutaifasiri.”

Copyright information for SwhNEN