Amos 9:14-15
14 aNitawarejesha tena watu wangu Israeli waliohamishwa;wataijenga tena miji iliyoachwa magofu,
nao wataishi ndani mwake.
Watapanda mizabibu na kunywa divai yake;
watalima bustani na kula matunda yake.
15 bNitaipanda Israeli katika nchi yao wenyewe,
hawatangʼolewa tena
kutoka nchi ambayo nimewapa,”
asema Bwana Mungu wenu.
Copyright information for
SwhNEN