Amos 9:11-12
Kurejezwa Kwa Israeli
11 a“Katika siku ile nitaisimamishahema ya Daudi iliyoanguka.
Nitakarabati mahali palipobomoka
na kujenga upya magofu yake,
na kuijenga kama ilivyokuwa awali,
12 bili wapate kuyamiliki mabaki ya Edomu,
na mataifa yote yale yanayobeba Jina langu,”
asema Bwana ambaye atafanya mambo haya.
Copyright information for
SwhNEN