Amos 5:4-5
4 aHili ndilo Bwana asemalo kwa nyumba ya Israeli:“Nitafuteni mpate kuishi;
5 bmsitafute Betheli,
msiende Gilgali,
msisafiri kwenda Beer-Sheba.
Kwa maana kwa hakika Gilgali itakwenda uhamishoni,
na Betheli itafanywa kuwa si kitu.” ▼
▼Yaani Aveni kwa Kiebrania, kumaanisha Beth-Aveni, jina lingine la Betheli kwa dhihaka.
Copyright information for
SwhNEN