‏ Amos 3:11

11 aKwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana Mwenyezi:

“Adui ataizingira nchi;
ataangusha chini ngome zenu
na kuteka nyara maboma yenu.”
Copyright information for SwhNEN