‏ Amos 1:9-10

9 aHili ndilo asemalo Bwana:

“Kwa dhambi tatu za Tiro,
hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu.
Kwa sababu ameuza jumuiya nzima ya mateka kwa Edomu,
na kutokujali mapatano ya undugu,
10 bNitatuma moto kwenye kuta za Tiro
ambao utateketeza ngome zake.”
Copyright information for SwhNEN