‏ Amos 1:14-15

14 aNitatuma moto kwenye kuta za Raba
ambao utateketeza ngome zake
katikati ya vilio vya vita katika siku ya mapigano,
katikati ya upepo mkali katika siku ya dhoruba.
15 bMfalme wake atakwenda uhamishoni,
yeye pamoja na maafisa wake,”
asema Bwana.
Copyright information for SwhNEN