‏ Acts 7:29

29 aMose aliposikia maneno haya, alikimbilia huko Midiani alikokaa kama mgeni, naye akapata watoto wawili wa kiume.


Copyright information for SwhNEN