Acts 4:34-35
34 aWala hapakuwepo mtu yeyote miongoni mwao aliyekuwa mhitaji, kwa sababu mara kwa mara wale waliokuwa na mashamba na nyumba waliviuza, wakaleta thamani ya vitu vilivyouzwa, 35 bwakaiweka miguuni pa mitume, kila mtu akagawiwa kadiri ya mahitaji yake.
Copyright information for
SwhNEN