‏ Acts 4:32

Walioamini Washirikiana Mali Zao

32 aWale walioamini wote walikuwa na moyo mmoja na nia moja. Wala hakuna hata mmoja aliyesema chochote alichokuwa nacho ni mali yake mwenyewe, lakini walishirikiana kila kitu walichokuwa nacho.
Copyright information for SwhNEN