Acts 4:18-20
18 aKisha wakawaita tena ndani na kuwaamuru wasiseme wala kufundisha kamwe kwa hili jina la Yesu.Imetupasa Kumtii Mungu Kuliko Wanadamu
19 bLakini Petro na Yohana wakajibu, “Amueni ninyi wenyewe iwapo ni haki mbele za Mungu kuwatii ninyi kuliko kumtii Mungu. 20 cLakini sisi hatuwezi kuacha kusema yale tuliyoyaona na kuyasikia.”
Copyright information for
SwhNEN