Acts 28:26-28
26 a“ ‘Nenda kwa watu hawa na useme,“Hakika mtasikiliza lakini hamtaelewa;
na pia mtatazama, lakini hamtaona.”
27 bKwa kuwa mioyo ya watu hawa imekuwa migumu;
hawasikii kwa masikio yao,
na wamefumba macho yao.
Wasije wakaona kwa macho yao,
na wakasikiliza kwa masikio yao,
wakaelewa kwa mioyo yao,
na kugeuka nami nikawaponya.’
28 c“Basi na ijulikane kwenu kwamba, huu wokovu wa Mungu umepelekwa kwa watu wa Mataifa, nao watasikiliza.” [
Copyright information for
SwhNEN