Acts 16:16
Paulo Na Sila Watiwa Gerezani
16 aSiku moja, tulipokuwa tukienda mahali pa kusali, tulikutana na mtumwa mmoja wa kike ambaye alikuwa na pepo wa uaguzi. Naye alikuwa amewapa mabwana zake mapato makubwa ya fedha kwa ubashiri.
Copyright information for
SwhNEN