‏ Acts 11:2-3

2 aHivyo Petro alipopanda Yerusalemu, wale wa tohara waliokuwa wameamini wakamshutumu, 3 bwakisema, “Ulikwenda kwa watu wasiotahiriwa na kula pamoja nao.”

Copyright information for SwhNEN