‏ 2 Timothy 2:24

24 aTena haimpasi mtumishi wa Bwana kuwa mgomvi, bali inampasa awe mwema kwa kila mtu, awezaye kufundisha, tena mvumilivu.
Copyright information for SwhNEN