‏ 2 Samuel 9:13

13 aNaye Mefiboshethi akaishi huko Yerusalemu, kwa sababu daima alikula mezani pa mfalme, naye alikuwa kiwete miguu yote.

Copyright information for SwhNEN