2 Samuel 23:9
9 aWa pili wake alikuwa Eleazari mwana wa Dodai, ▼▼Dodai tafsiri nyingine zinamwita Dodo.
Mwahohi. Akiwa mmojawapo wa wale mashujaa watatu, alikuwa pamoja na Daudi wakati waliwadhihaki Wafilisti waliokuwa wamekusanyika huko Pas-Damimu kwa ajili ya vita. Kisha watu wa Israeli wakarudi nyuma,
Copyright information for
SwhNEN