2 Samuel 23:1
Maneno Ya Mwisho Ya Daudi
1 aHaya ni maneno ya mwisho ya Daudi:
“Neno la Daudi mwana wa Yese,
neno la mtu aliyeinuliwa na Aliye Juu Sana,
mtu aliyepakwa mafuta na Mungu wa Yakobo,
mwimbaji wa nyimbo wa Israeli:
Copyright information for
SwhNEN