‏ 2 Samuel 21:18

18 aBaada ya muda, kukawa na vita nyingine na Wafilisti, huko Gobu. Wakati huo Sibekai, Mhushathi, akamuua Safu, mmoja wa wazao wa Warefai.

Copyright information for SwhNEN