2 Samuel 19:43
43 aNdipo watu wa Israeli wakawajibu watu wa Yuda, “Tunayo haki mara kumi kwa mfalme; sisi tunahusika zaidi na Daudi kuliko ninyi. Kwa nini basi mnatudharau? Je, hatukuwa wa kwanza kuzungumza kuhusu kumrudisha mfalme nyumbani?”Lakini watu wa Yuda wakajibu kwa ukali hata zaidi kuliko watu wa Israeli.
Copyright information for
SwhNEN