‏ 2 Samuel 18:14-15

14 aYoabu akasema, “Mimi sitapoteza muda hapa pamoja nawe.” Hivyo akachukua mikuki mitatu mkononi mwake, akamchoma Absalomu nayo moyoni alipokuwa angali hai akiningʼinia katika ule mwaloni. 15 bNao wabeba silaha kumi wa Yoabu wakamzunguka Absalomu, wakampiga na kumuua.

Copyright information for SwhNEN