2 Samuel 18:11
11 aYoabu akamwambia huyo mtu, “Nini! Ulimwona Absalomu? Kwa nini hukumpiga papo hapo mpaka chini? Ndipo ningekupa shekeli kumi ▼▼Shekeli kumi za fedha ni sawa na gramu 115.
za fedha na mkanda wa askari shujaa.”
Copyright information for
SwhNEN