‏ 2 Samuel 13:38-39

38 aBaada ya Absalomu kukimbia na kwenda Geshuri, akakaa huko miaka mitatu. 39 bRoho ya Mfalme Daudi ikatamani kumwendea Absalomu, kwa maana mfalme alikuwa amefarijika kuhusu kifo cha Amnoni.

Copyright information for SwhNEN