‏ 2 Peter 2:21

21 aIngelikuwa afadhali kwao kama wasingeliijua kamwe njia ya haki, kuliko kuijua kisha wakaiacha ile amri takatifu waliyokabidhiwa.
Copyright information for SwhNEN