‏ 2 Kings 22:1

Yosia Mfalme Wa Yuda

(2 Nyakati 34; 35:20-27)

1 aYosia alikuwa na miaka minane alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu miaka thelathini na mmoja. Mama yake aliitwa Yedida binti Adaya, kutoka Boskathi.
Copyright information for SwhNEN