‏ 2 Kings 2:23

Elisha Anafanyiwa Mzaha

23 aKutoka huko Elisha akakwea kwenda Betheli. Ikawa alipokuwa akitembea barabarani, baadhi ya vijana wakatoka mjini na kumfanyia mzaha. Wakasema, “Paa, wewe mwenye upaa! Paa, wewe mwenye upaa!”
Copyright information for SwhNEN