‏ 2 Kings 17:24

Samaria Inakaliwa Tena

24 aMfalme wa Ashuru akawaleta watu kutoka Babeli, Kutha, Ava, Hamathi na Sefarvaimu na kuwaweka katika miji ya Samaria badala ya Waisraeli. Wakaimiliki Samaria na kuishi katika miji yake.
Copyright information for SwhNEN