‏ 2 Kings 12:1

Yoashi Anakarabati Hekalu

1 aKatika mwaka wa saba wa utawala wa Yehu, Yoashi alianza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu miaka arobaini. Jina la mama yake aliitwa Sibia, kutoka Beer-Sheba.
Copyright information for SwhNEN