2 Corinthians 4:8-10
8 aTwataabika kila upande lakini hatuangamizwi; twaona wasiwasi lakini hatukati tamaa; 9 btwateswa lakini hatuachwi; twatupwa chini lakini hatupondwi. 10 cSiku zote twachukua katika mwili kufa kwake Yesu ili kwamba uzima wa Yesu uweze kudhihirika katika miili yetu.
Copyright information for
SwhNEN