‏ 2 Corinthians 3:15-16

15 aHata leo Sheria ya Mose inaposomwa, utaji hufunika mioyo yao. 16 bLakini wakati wowote mtu anapomgeukia Bwana, utaji unaondolewa.
Copyright information for SwhNEN