‏ 2 Corinthians 12:17-18

17 aJe, nilijipatia faida kwa kumtumia mtu yeyote niliyemtuma kwenu? 18 bNilimshawishi Tito aje kwenu, nami nilimtuma pamoja na ndugu yetu. Je, Tito aliwatumia ninyi ili kujipatia faida? Je, hatuenendi kwa roho moja, na hatuchukui hatua zile zile?

Copyright information for SwhNEN