‏ 2 Chronicles 7:3

3 aWaisraeli wote walipoona moto ukishuka na utukufu wa Bwana ukiwa juu ya Hekalu, wakapiga magoti sakafuni wakasujudu nyuso zao mpaka chini, nao wakamwabudu na kumshukuru Bwana wakisema,

“Yeye ni mwema;
upendo wake unadumu milele.”
Copyright information for SwhNEN