‏ 2 Chronicles 36:9

Yehoyakini Mfalme Wa Yuda

(2 Wafalme 24:8-17)

9 aYehoyakini alikuwa na miaka kumi na minane alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu miezi mitatu na siku kumi. Akafanya yaliyo maovu machoni pa Bwana.
Copyright information for SwhNEN