2 Chronicles 36:5
Yehoyakimu Mfalme Wa Yuda
(2 Wafalme 23:35–24:7)
5 aYehoyakimu alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu miaka kumi na mmoja. Akafanya maovu machoni pa Bwana Mungu wake.
Copyright information for
SwhNEN