2 Chronicles 35:20
Kifo Cha Yosia
(2 Wafalme 23:28-30)
20 aBaada ya haya yote, Yosia alipomaliza kulitengeneza vizuri Hekalu, Neko mfalme wa Misri, akapanda ili kupigana huko Karkemishi katika Mto Frati, naye Yosia akatoka kwenda kupigana naye.
Copyright information for
SwhNEN