‏ 2 Chronicles 34:2

2 aAkafanya yaliyo mema machoni pa Bwana na kuenenda katika njia za Daudi baba yake, hakugeuka upande wa kuume wala wa kushoto.

Copyright information for SwhNEN