‏ 2 Chronicles 32:5

5 aHezekia akafanya kazi kwa bidii kukarabati sehemu zote zilizokuwa zimebomoka za ukuta na kujenga minara juu yake. Akajenga ukuta mwingine nje ya ule uliokuwepo na kuimarisha Milo
Milo maana yake Boma la Ngome.
katika Mji wa Daudi. Akatengeneza pia silaha nyingi na ngao.

Copyright information for SwhNEN