2 Chronicles 32:4-5
4 aUmati mkubwa wa watu ukakusanyika na kuzuia chemchemi zote na vijito vilivyotiririka katika nchi yote, wakisema: “Kwa nini wafalme wa Ashuru waje na kukuta maji tele?” 5 bHezekia akafanya kazi kwa bidii kukarabati sehemu zote zilizokuwa zimebomoka za ukuta na kujenga minara juu yake. Akajenga ukuta mwingine nje ya ule uliokuwepo na kuimarisha Milo ▼▼Milo maana yake Boma la Ngome.
katika Mji wa Daudi. Akatengeneza pia silaha nyingi na ngao.
Copyright information for
SwhNEN